Ahul Bayt wa Mtume Muhammad (SAW)
TEHRAN (IQNA) – Mkutano wa kimataifa wenye jina la "Kawthar ya Ismat" umeandaliwa katika haram tukufu ya Imam Hussein (AS) huko Karbala, Iraq, kwa mnasaba wa kumbukumbu ya kuzaliwa Bibi Fatima Zahra (SA), Bintiye Mtume Muhammad (SAW) na Mume wa Imam Ali (AS).
Habari ID: 3476424 Tarehe ya kuchapishwa : 2023/01/18